Kristo Ahnsahnghong–Yesu Aliyekuja mara ya pili –Alitujulisha kwamba Biblia ni kitabu kinachoshuhudia kuhusu Mungu.
“…Baba yetu uliye mbinguni…” Mat 6:9
Yesu Alitufundisha uwepo wa Mungu Baba. Mtume Paulo alitufundisha uwepo wa Mungu Mama.
“Lakini Yerusalemu wa juu ni huru naye ndiye mama yetu.” Gal 4:26
Hata kupitia kanuni ya mambo ya asili, tunaweza kujua uwepo wa Mungu Mama. Maua yenye harufu na rangi nzuri, miti ya kijani iliyosimama wima kuelekea angani, simba, mfalme wa kondeni, tai, bwana wa angani, samaki wa tropiki, mwanamitindo wa baharini, na mtoto mpenzi. . . Wote wanapokea uhai kupitia mama zao.
Basi, ni nani anayetupatia uhai wa kiroho?
Kama vile viumbe vyote vinavyopokea uhai kutoka kwa mama zao, uhai wa kiroho unatolewa na Mungu Mama.
“Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.”
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha