Hakuna njia nyingine ya kuwaokoa wanadamu kutoka kwenye maafa au kuwaongoza watu kutoka mautini hadi kwenye uzima wa milele isipokuwa Pasaka ya agano jipya, ambayo Mungu Aliianzisha kupitia dhabihu Yake msalabani. Katika enzi hii, wale wanaotoa chakula kwa wakati unaofaa na kujiwekea baraka mbinguni ndio wale wanaohubiri, “Tuadhimishe Pasaka katika Sayuni, ambapo Mungu Yuko pamoja nasi.”
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha