Kanisa la Mungu lilianzishwa na Kristo Ajaye kwa Mara ya Pili Ahnsahnghong, katika Jamhuri ya Korea, kwenye miisho ya dunia upande wa mashariki, mnamo mwaka 1964.
Jina "Kanisa la Mungu" linatokana na Biblia (1 Kor 1:2; Gal 1:13). Chini ya baraka za Mungu, Kanisa limekua hadi kuwa na zaidi ya waumini milioni 3.3, katika takriban makanisa 7,500, katika nchi 175-yote ndani ya nusu karne tu. Linatekeleza kazi ya umisionari na huduma za kujitolea ulimwenguni pote kwa lengo la kuhubiri habari njema za wokovu na furaha kwa watu wote.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha