Tunapokasirika, sumu hujengeka ndani ya miili yetu, na mawazo mabaya hutawala akili zetu. Kwa hiyo, waumini wa Kanisa la Mungu wanafanya kila wawezalo kutekeleza mafundisho ya Biblia ambayo Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama wamekuwa wakiyasisitiza sikuzote: “jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika,” na “maneno yenu yawape neema wale wanaosikia.”
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha