Historia ya Waisraeli, waliolalamika na kunung'unika wakati wa miaka yao 40 nyikani na wakaangamizwa, inaonyesha kwamba tukimchochea Mungu hasira, mvua ya baraka haitanyesha juu ya nchi. Kupitia historia hii, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama wametufundisha kwamba, katika safari ya nyikani kwa imani, ni lazima daima tubaki wenye shukrani na kamwe tusisahau tumaini la ufalme wa mbinguni, ambalo ni lengo la maisha yetu ya imani.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha