Waisraeli waliuzunguka mji wa Yeriko mara moja kwa siku sita.
Walipouzunguka mji mara saba siku ya saba, na kupiga kelele, kila kitu kilianguka kama vile Mungu Alivyokuwa Ameahidi; hii inaonyesha kwamba dunia ni ulimwengu ulioboreshwa kwa ajili ya neno la Mungu.
Ndiyo maana Baba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Waliporudisha ukweli wa agano jipya ambao ulikuwa umepotea, Walitufundisha maisha yenye baraka ya kuishi kulingana na neno la Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha