Mungu Aliiruhusu Pasaka kama njia kwetu sisi kumshinda Shetani.
Shetani alijaribu kuzuia kuzaliwa kwa Mose na Yesu ili kuzuia nguvu ya Mungu ya Pasaka.
Walakini, kama vile alivyoshindwa mbinguni alipompinga Mungu, hatimaye alishindwa hapa duniani pia.
Watu wasiohesabika ulimwenguni wanamiminika Sayuni ambapo Pasaka ya agano jipya inaadhimishwa.
Hii ni kazi ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wanaoleta ushindi wa kiroho.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha