Mungu Anaweza kufanya kila kitu—hata mambo ambayo wanadamu hawawezi kufanya.
Haijalishi ni kiasi gani Shetani anajaribu kuizuia injili kwa kuzipofusha akili za watu,
kazi ya Mungu haiwezi kamwe kuvurugika kama ambavyo Dunia haiwezi kuzuiwa kusota.
Lazima tutoe shukrani kwa Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wanaotulinda hadi mwisho na kuwa na imani kwamba tutashinda haijalishi Shetani anatuzuia sana.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha