Ikiwa hatuna macho na masikio ya kiroho, hatuwezi kutambua ingawa unabii wa Biblia unatimizwa mbele ya macho yetu, na hatuwezi kuamini hata kama Mungu Mwenyewe Anashuhudia kwamba Yeye ndiye mana ya uzima.
Katika enzi hii, ni Kanisa la Mungu pekee linalomwamini Kristo Ahnsahnghong, Aliyekuja kama uhalisi wa mana na kutoa Pasaka ya agano jipya, ndiye Mungu ambaye Biblia inamshuhudia.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha