Tunapojifunza somo la nafsi, ni lazima tujibu maswali matatu yafuatayo: Kwanza, nafsi yetu inatoka wapi? Pili, kwa nini nafsi yetu inavaa mwili na kuishi katika ulimwengu huu wenye dhambi? Na tatu, roho zetu huenda wapi tunapoondoka kwenye ulimwengu huu? Maswali haya matatu ni muhimu sana kwa tumaini la wanadamu wote.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha