Maisha yetu ya awali yanaweza kuelezewa kwa usahihi kupitia maisha ya Yesu. Mwonekano wa Yesu ulikuwa sawa tu na wa wanadamu, hivyo majirani zake hawakuweza kupata tofauti yoyote kati yake na watu wa kawaida. Walisema: “Huyu si mwana wa seremala? Mama yake si Mariamu, na ndugu zake si Yakobo, Yosefu, Simoni na Yuda?” (Mt 13:55).
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha