Katika Agano la Kale na Jipya, watu watakatifu wa mbinguni wanaitwa kwa majina mbalimbali: malaika mbinguni (Mt 22:30), jeshi kubwa la mbinguni (Lk 2:13) au wana wa Mungu (Ayu 38:7, SUV; Mwa 6:1-3). Kama katika jamii ya wanadamu, mbinguni kuna mfalme na vilevile maofisa, askari na watu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha