Kwenye ujio Wake wa kwanza na ujio Wake wa pili pia, Mungu Anatujalia uzima kupitia Pasaka ya agano jipya.
Wakati wa ujio Wake wa kwanza, Alitoa uzima wa milele kupitia mkate na divai ya Pasaka, ikiashiria mwili na damu ya Yesu. Vivyo hivyo, Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni Wameahidi uzima wa milele kwa wale wanaoadhimisha Pasaka ya agano jipya katika enzi ya Roho Mtakatifu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha