Kuna watu na makanisa mengi ulimwenguni yanayomwamini Mungu, lakini kanisa pekee la kweli lenye wokovu ni Kanisa la Mungu linaloshika Pasaka ya agano jipya kulingana na ahadi ya Mungu. “Wale tu wanaokula mwili na kuinywa damu ya Mungu, Aliye wa milele pekee, wanaweza kupata uzima wa milele.” Kufuata kumbukumbu za manabii katika Biblia na mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, wanadamu lazima washike Pasaka ya agano jipya, ukweli wa uzima, hadi mwisho wa wakati.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha