Kama vile Mungu Alivyofanya kazi na Yoshua na Noa, katika enzi ya Roho Mtakatifu, baraka zote zitakuja juu yetu tunapoamini na kutenda kulingana na maneno ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama. Ukweli kwamba injili ya agano jipya, inayohubiriwa na washiriki wa Kanisa la Mungu, imeenea ulimwenguni kote pia ni sehemu ya kazi ya ajabu iliyotimizwa kulingana na neno la Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha