Mungu Alifanya Bustani ya Edeni na kuficha siri ya uzima wa milele humo.
Kwa kuwa wanadamu hawakutii neno la Mungu, “Ukila matunda ya mti huo, utakufa,” kwa kula kutoka kwenye mti wa kujua mema na mabaya na hivyo wakakabili mauti, lazima wapokee ukweli tena kuhusu mti wa uzima, ambao una ahadi ya Mungu, “Ukiula, utaishi milele.” Ukweli huu wa uzima umerejeshwa na Kristo Ahnsahnghong katika Kanisa la Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha