Takribani miaka 2,000 iliyopita, Yesu Alijirejelea kama mana, mkate wa uzima ulioshuka kutoka mbinguni, naye Alisisitiza mara nyingi kwamba wale wanaokula mkate wa Pasaka na kunywa divai ya Pasaka, ambayo inawakilisha mwili na damu ya Yesu, watakuwa na uzima wa milele.
Katika enzi hii, Kristo Ahnsahnghong, Kristo Ajaye Mara ya Pili, Alianzisha Kanisa la Mungu na Amekuwa Akifundisha wanadamu kupokea uzima kwa njia ya mkate na divai ya Pasaka.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha