Kama Kristo Ahnsahnghong Alivyosema, tukipanda upendo, tutazaa tunda la upendo na kupokea thawabu katika ufalme wa mbinguni. Wana na binti za Mungu, ambao watakuwa ukuhani wa kifalme katika ufalme wa mbinguni, lazima wawe na unyenyekevu, utauwa, na upendo wao kwa wao. Lazima pia wawahurumie wale wanaotangatanga, bila kujua njia ya uzima.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha