Tunaweza kusali mioyoni mwetu, kwa sauti, na katika hali yoyote. Chochote tunachofanya, tukisali kwa hekima kama Solomoni, Mungu Atatimiza maombi yetu yote. Mungu Ahnsahnghong Anatubariki na kutuongoza kwenye ufalme wa mbinguni ambapo hakuna mauti wala maumivu. Wale wanaompenda huishi maisha ya sala, wakizungumza Naye daima.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha