Kupitia taarifa zilizoandikwa za Kibiblia zinazotangulia sayansi
na historia ya ulimwengu iliyojitokeza kufuatana na neno la Mungu,
tunaweza kutambua kwamba Biblia ni hakika
na kwamba ulimwengu huu unaendelea kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Ni unabii wa kweli wa Mungu pia kwamba tutakuja kuishi maisha matukufu
Mbinguni milele tunapoamini katika neno la Mungu
na kuishi maisha kulingana na mafundisho ya Biblia.
[N]ao watatawala milele na milele.
Kisha yule malaika akaniambia, “Maneno haya ni ya kuaminika na kweli.”
Ufunuo 22:5-6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha