Kanisa la Mungu linashika sikukuu kama siku ya Sabato na Pasaka, ambazo ni amri za Mungu.
Ikiwa hatuzishiki amri za Mungu, hatuwezi kupokea ufahamu mzuri, na hekima yetu na akili zetu hupotea, na kutufanya tutende matendo maovu kwa imani kwamba hakuna Mungu.
Biblia inashuhudia kwamba wale wanaomtafuta Yehova katika enzi ya Baba, Yesu Kristo katika enzi ya Mwana, na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama—Roho na Bibi arusi—katika enzi ya Roho Mtakatifu ni wale wenye ufahamu. kama watu wa kweli wa Mungu nao wataokolewa.
Mpumbavu anasema moyoni mwake, “Hakuna Mungu.” Wameharibika, na njia zao ni za uovu kabisa, hakuna hata mmoja atendaye mema.
Mungu anawachungulia wanadamu chini kutoka mbinguni aone kama wako wenye akili [wenye ufahamu, NIV], wowote wanaomtafuta Mungu.
Kila mmoja amegeukia mbali, wameharibika wote pamoja, hakuna atendaye mema. Naam, hakuna hata mmoja!
Zaburi 53:1–3
Kumcha BWANA ndicho chanzo cha hekima, wote wanaozifuata amri zake wana busara [wana ufahamu, RSUV]. Sifa zake zadumu milele.
Zaburi 111:10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha