Mungu Anatawala ulimwengu wa imani, ambapo hakuna jambo lisiloweza kutimizwa na kila kitu kinatimizwa kama Alivyopanga.
Mungu Aligawanya Bahari ya Shamu kwa fimbo, Akawashinda askari 135,000 pamoja na wanaume 300 wa Gideoni, na kuwapa Waisraeli chakula kwa miaka 40 walipokuwa jangwani. Yote hii ni miujiza ambayo Mungu Aliitimiza katika ulimwengu wa imani ambayo kamwe isingeweza kufanywa katika ulimwengu wa pande tatu.
Ulimwengu wa kimwili na ulimwengu wa imani ni tofauti kama mvutano wa dunia na ule wa mwezi. Tunapotambua hili na kuwa na imani thabiti katika Mungu Anayeweza kufanya kila kitu, kazi ya wokovu ya ulimwengu mzima, inayoongozwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, itatimizwa.
Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini mambo yote yanawezekana kwa Mungu.”
Mathayo 19:26
“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika. Uliuliza, ‘Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa?’ . . .”
Ayubu 42:2–3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha