Kwa kuwa Mungu huwapa watoto Wake baraka za Mbinguni
kupitia kila ibada, tendo la kumwamini Mungu
na kumheshimu Mungu lenyewe ni shangwe na furaha.
Maisha ya lazima ya imani bila tumaini la Mbinguni huleta
majaribu. Lazima tusifuati njia ya Adamu na Eva
ambao walishindwa na ujanja wa Shetani, bali tuwe na imani kikamilifu
kama ile ya Ayubu, na kumheshimu Mungu hadi mwisho, na tushinde
majaribu kupitia neno la Mungu, tukifuata kielelezo cha Yesu.
Majaribu yote ya kilimwengu ambayo huizuia njia yetu kwenda Mbinguni ni majaribio.
Kama ambavyo Waisraeli walijaribiwa katika kila wakati jangwani
kwa miaka 40, waumini wa Kanisa la Mungu ambao
wanaelekea Kanaani ya mbinguni hupewa majaribio, lakini twaweza kuyavumilia
majaribio hayo na kupokea baraka za Mbinguni mwishoni
ikiwa tuna imani kikamilifu katika Mungu Baba na Mungu Mama.
“Kwa kuwa umeshika amri yangu ya kuvumilia katika saburi,
nitakulinda katika saa ya kujaribiwa inayokuja
ulimwenguni pote, ili kuwajaribu wote wakaao duniani.” Ufunuo 3:10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha