Kama tukishawishiwa na Shetani na kuwa watumishi wake,
na kuanguka katika vishawishi kwa sababu ya tamaa za kidunia
na kutenda dhambi, Mungu huteseka badala yetu sisi
katika ulimwengu usioonekana.
Ingawa Shetani anatujaribu kupitia udhaifu wetu,
tunapaswa kuchagua njia sahihi kwa imani,
tukiutazamia ulimwengu wa kiroho.
(Yesu Kristo, Abrahamu, na Daudi,
walionyesha mifano ya kuyashinda majaribu)
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha