Kupitia historia ya Waisraeli ambao walimnung'unikia na kumlalamikia Mungu wakati wa safari yao ya miaka 40 jangwani, tunaweza kujifunza kwamba wanadamu ambao wanalo tumaini la kuingia katika Ufalme wa Mbinguni wanahitaji kuwa na imani ya dhati isiyoyumbayumba katika hali yoyote.
Ikiwa tunataka kushinda jaribio la Mungu la kuchagua ukuhani wa kifalme wa Ufalme wa Mbinguni, ni lazima tumpokee Kristo Ahnsahnghong Aliyetokea mara ya pili na Mungu Mama kama vile watakatifu wa kanisa la mapema, walivyompokea Yesu katika mwili.
“Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua. Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.
Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake”
Yohana 1:10–12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha