Majaribu yalikuja juu ya Waisraeli kila wakati wa safari yao ya miaka 40 jangawani, miaka 3,500 iliyopita. Hali kadhalika, leo, majaribu yanakuja juu yetu kwa njia ya magonjwa kama UVIKO-19 ambao umepata ulimwengu mzima, na kupitia taaabu nyingi sana tunazokabili katika safari yetu ya imani.
Yesu Alituwekea kielelezo cha namna ya kushinda majaribu ya Shetani. Kwa wale wanaoshinda majaribu yote bila kuyumbayumba chini ya hali zozote kama Yesu Alivyofanya, Mungu Anafunua jina jipya la Yesu na Yerusalemu Mama wa Mbinguni ambaye Amekuja chini kutoka Mbinguni.
“Kwa kuwa umeshika amri yangu ya kuvumilia katika saburi, nitakulinda katika saa ya kujaribiwa inayokuja ulimwenguni pote, ili kuwajaribu wote wakaao duniani. Ninakuja upesi. Shika sana ulicho nacho, ili mtu asije akaichukua taji yako. “
Ufunuo 3:10–11
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha