Akiangalia maji, Mungu Aliumba samaki na Akawaruhusu wapumue chini ya hayo maji tu.
Kwa kuwa Mungu Aliumba miti ili kupata mizizi ardhini, Mungu Aliiruhusu ijaze pale tu ilipotia mizizi katika nchi.
Mungu Baba na Mungu Mama Waliwaumba wanadamu kwa kuangaliana na kuwaruhusu kupokea baraka ya furaha na uzima wa milele katika Mungu.
Samsoni na Sauli walipogeuka mbali na Mungu, walikabili mwisho mbaya na wenye maumivu, lakini walipoishi maisha ya utii kwa Mungu, walifanikiwa katika kila kitu.
Katika enzi hii, pia, waumini wa Kanisa la Mungu wanaweza kuishi maisha ya ushindi katika kila kitu kwa sababu wanaishi katika Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, ambao Wamekuja kama Roho na Bibi arusi.
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, . . .”
Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1:26–27
“Mimi ni mzabibu, ninyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami ndani yake, huyo huzaa sana, maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya jambo lolote.
Yohana 15:5
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha