Kupitia mafundisho ya Biblia, Baba wa Mbinguni Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni
walituambia kwamba inatupasa kufikriria mapenzi ya Mungu kwanza, bila kukatishwa tamaa bali tukiwa na shukrani katika hali zilizo mguu, kama vile Yoshua na k Kalebu.
Watoto wa Mungu lazima watafakari juu ya lugha ya Mbinguni sikuzote.
Tukifuata mafundisho ya Mama, tunapaswa kutumia maneno ya kuthamini na kutia moyo, na kuwa waangalifu kutosema jambo lolote lenye kosa kwa hisia za kitambo kidogo, kama alivyofanya Mose.
“. . . watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena. Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” Mathayo 12:36–37
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha