Waisraeli walikombolewa kutoka utumwani Misri na wakamiliki Kanaani, nchi ya uhuru. Pia, jua na mwezi vilisimamishwa kama matokeo ya sala ya Yoshua kwa ajili ya ushindi wa Israeli. Mtume Paulo Alimshukuru Mungu kwa kumsamehe na kumwongoza Mbinguni. Mifano yote hii inatuonyesha kwamba vitu tunavyopaswa kutolea shukrani vinatokea kwa wale wanaoamini kwamba Mungu sikuzote huwasaidia.
Katika huu ulimwengu, pia, ni jambo la asili kumrudishia mtu unayemshukuru. Kwa hiyo, tunapaswa kutambua pia upendo na neema ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wanaotukuza, muda mwingine vikali na muda mwingine kwa upole, ili kutuongoza kwenye Ufalme wa Mbinguni.
Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu, . . kwa sababu Mungu aliwachagua ninyi tangu mwanzo ili mwokolewe kwa kutakaswa na Roho kwa kuiamini kweli.
2 Wathesalonike 2:13
Nasi pia tunamshukuru Mungu bila kukoma kwa sababu mlipolipokea neno la Mungu mlilosikia kutoka kwetu, hamkulipokea kama neno la wanadamu, bali mlilipokea kama lilivyo hasa, neno la Mungu, . . .
1 Wathesalonike 2:13
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha