Biblia inatabiri kwamba watakatifu wa Mungu ni kama Isaki—mrithi wa Abrahamu na kwamba wale wakaao Sayuni watakuwa na shangwe na furaha.
Kupitia unabii huu, tunaweza kuona kwamba Mungu Anataka watoto wa Sayuni wawe na shangwe na furaha sikuzote, kama tu maana ya jina Isaki [kicheko].
Kwa sababu hii, waumini wa Kanisa la Mungu, ambao wana tumaini la mbinguni na wanaishi maisha ya kushiriki upendo wa Mungu, wanajawa na shukrani na kicheko.
Kama vile kuna msanifu majengo wakati wa kujenga nyumba, kuna Msanifu wa uzima wa milele ambaye wanadamu wote wanamtamani.
Kwa kuwa hakuna mwingine isipokuwa Mungu ambaye ana uzima wa milele katika ulimwengu wote, Baba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Walikuja hapa duniani ili kuwapa wanadamu uzima wa milele.
Ndipo Mungu akasema, “Ndiyo, lakini mkeo Sara atakuzalia wewe mwana, nawe utamwita jina lake Isaki. [kicheko].”
Mwanzo 17:19
“Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaki, tu watoto wa ahadi.”
Wagalatia 4:28
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha