Mungu Ameturuhusu kuelewa umuhimu
wa familia ya mbinguni kupitia mfumo wa
familia ya duniani ambayo ni mfano. Tutapokea baraka
kwa kuutimiza uwajibikaji kwa wazazi wetu wa kibinadamu.
Tutapokea baraka za milele tunapoutimiza uwajibikaji
kwa Wazazi wa kiroho. Kwa kuwa Mungu ni Baba yetu na ni Mama yetu,
tunapaswa kuwahudumia na kuwaheshimu Wazazi wetu wa mbinguni
kama vile tunavyowaheshimu wazazi wetu wa kibinadamu.
(Mifano: Amri Kumi kwa ajili ya Wazazi,
utambuzi wa Helen Adam Keller, uwajibikaji wa Ruthu kwa wazazi,
heshima ya ndege kwa wazazi wao)
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha