Roho na Bibi arusi waseme, “Njoo!” . . . anayependa,
na achukue maji ya uhai bila malipo. Ufunuo 22:17
Roho Anamrejelea Mungu Baba kulingana na Utatu,
na Bibi arusi anamwakilisha Yerusalemu wa Mbinguni, Mungu Mama.
Mama wa Mbinguni, Yerusalemu Mpya, ndiye Anayetoa maji ya uzima.
Nabii Ezekieli alitabiri kwamba wanadamu walio na kiu
kwa sababu ya ukosefu wa maji ya kiroho watapokea wokovu
kwa njia ya maji ya uzima yatiririkiayo kutoka kwa Yerusalemu.
Kulingana na unabii wa Biblia, Kanisa la Mungu
linawasilisha maneno ya maji ya uzima ambayo Mungu hutoa kwa ulimwengu mzima,
na matokeo yake, watu wengi wanakuja mbele ya Mama wa Mbinguni kumfuata Yeye.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha