Sikuzote Mungu Aliruhusu Sanduku la Agano liwe mbele na Waisraeli walifuata nyuma, Alipowaongoza jangwani kwa muda wa miaka arobaini na Alipowaruhusu kuuteka mji wa Yeriko na kuwaruhusu kuingia katika nchi ya Kanaani.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanatamani kuingia Kanaani ya mbinguni kwa kufuata mafundisho ya Mungu Elohim ambaye Alitokea kama Sanduku la Agano na kupata ushindi katika maisha yao ya imani, wakijifunza kutoka historia ya zamani ya Waisraeli badala ya kufuata mawazo yao wenyewe. .
“Kisha nikatazama na hapo mbele yangu alikuwepo Mwana-Kondoo, akiwa amesimama juu ya Mlima Sayuni. . . . Hawa ndio wale ambao hawakujitia unajisi kwa wanawake, kwa kuwa wao ni bikira. Wao humfuata Mwana-Kondoo kila aendako. Hawa wamekombolewa kutoka miongoni mwa wanadamu wakawa malimbuko kwa Mungu na kwa Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 14:1–4
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha