Yesu Aliyekuja duniani mara ya kwanza kulingana na unabii wa kiti cha enzi cha Daudi Alibatizwa akiwa na umri wa miaka thelathini, Akahubiri Injili kwa miaka mitatu. Kristo Ahnsahnghong, Aliyekuja mara ya pili kama Daudi wa kiroho, pia Alibatizwa akiwa na umri wa miaka thelathini naye Akahubiri Injili kwa miaka thelathini na saba iliyobaki, Akiutimiza unabii wa miaka arobaini.
Yesu Kristo Alitabiri kwamba Mwana wa Adamu Atakuja mara ya pili mtini ulipofufuliwa, yaani, Israel ilipopata uhuru mwaka 1948. Yule Aliyekuja katika dunia hii kwa mara ya pili kama Daudi wa kiroho kulingana na unabii, Akirejesha sikukuu za uzima ambazo zilikuwa zimeondolewa kama vile Sabato, Pasaka, n.k. na kuwaongoza wanadamu kwenye wokovu ni Kristo Ahnsahnghong.
Kanisa linaloamini katika Kristo Ahnsahnghong Aliyekuja kama Daudi na Mama wa Mbinguni ambaye Kristo Ahnsahnghong Mwenyewe Alimshuhudia ni Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu.
“Badala yake, watamtumikia BWANA, Mungu wao
na Daudi mfalme wao, nitakayemwinua kwa ajili yao.” Yeremia 30:9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha