Watu wengi wanadai kumwamini Mungu, lakini Yesu Alitabiri kwamba wengi wao hawatafuata mafundisho ya Mungu.
Kabla ya kupaa kwake Mbinguni, Aliomba wanafunzi Wake kwa dhati kama ifuatavyo, “Wafundisheni kuyashika yote Niliyowaamuru ninyi.”
Miongoni mwa makanisa mengi katika ulimwengu huu, ni Kanisa la Mungu pekee lililo na Pasaka ya Agano Jipya, ushuhuda wa uzima wa milele, na linafuata mafundisho ya Yesu kama Kanisa la mapema. Limeanzishwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Yesu akawajia na kusema, “. . . Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”
Mathayo 28:18–20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha