“Kwa kila jambo kuna majira yake,
na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.”
Wakati Mungu alipofanya kazi Yake ya wokovu
kuokoa wanadamu duniani, Aligawa nyakati tatu tofauti
—nyakati za Baba, nyakati za Mwana,
na nyakati za Roho Mtakatifu, tangu mwanzo,
na Mungu akaturuhusu kupokea wokovu
kwa kupitia jina la Mwokozi katika kila nyakati pekee.
Katika nyakati za Roho Mtakatifu, tunatakiwa kuamini
katika Kristo Ahnsahnghong, Aliyekuja kwa jina
jipya la Yesu, na kuwa mashahidi wa jina hilo,
na kuomba kwa jina hilo, ili tupokee
baraka ya wokovu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha