Kama vile kipofu ambaye macho yake yalifumbuliwa kwa neema ya Yesu na Gehazi ambaye aliona jeshi la mbinguni, Petro na Zakayo ambao walitambua kwamba Yesu ni Mungu, tunapofungua macho yetu ya kiroho, tunaweza kupata Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama..
Waumini wa Kanisa la Mungu hushika amri zote za Mungu, zikiwemo Sabato na Pasaka ya Agano Jipya ambazo zilirejeshwa na Kristo Ahnsahnghon; nao humshukuru Mungu kwa kuwapa utambuzi wa kiroho.
“Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama lakini hamtaona. . . .’ Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.”
Mathayo 13:14–16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha