Katika ulimwengu huu wenye utusitusi na maafa mbalimbali na magonjwa ya kuambukiza,
Wale Wanaoweza kutupa tumaini kwa ajili ya Ufalme wa milele wa Mbinguni
ambapo hakuna maumivu, mateso, wala mauti, ni Baba
na Mama wa Mbinguni Waliokuja kama Roho na Bibi arusi.
Kama ambavyo Mungu Aliwaruhusu watu Wake kumtambua Kristo
kwa njia ya Agano la Kale, Ametufundisha jinsi ya kumtambua
Mama wa Mbinguni kwa njia ya Agano Jipya katika enzi hii.
Watu ambao wanaishi bila kupoteza tumaini katika hali zote,
wakiwa wamejawa na shukrani, ndio watu wa Kanisa la Mungu.
Wanafuata mafundisho ya Mama wa Mbinguni na kulishika Agano Jipya.
Mambo haya yanaweza kuchukuliwa kama mfano. Kwa maana hao wanawake wawili ni mfano wa maagano mawili . . . Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu. Wagalatia 4:24–26
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha