Kama vile itupasavyo kutumia hadubini
kuona vitu vidogo visivyoonekana,
ili kuelewa mambo ya kiroho,
inatupasa kuuangalia ulimwengu wa kiroho kupitia Biblia.
Biblia inatabiri kwamba watu watamiminika
Sayuni katika siku za mwisho. Sayuni ni mahali ambapo Mungu hukaa
na kutawala juu ya watu Wake kwa ahadi
ya msamaha wa dhambi kwa njia ya sikukuu saba
za agano jipya katika nyakati tatu.
(Pasaka, Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, Siku ya Ufufuo,
Siku ya Pentekoste, Sikukuu ya Tarumbeta, Siku ya Upatanisho,
na Sikukuu ya Vibanda)
Mtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu . . .
Huko BWANA atakuwa Mwenye Nguvu wetu . . .
nazo dhambi za wale waishio humo zitasamehewa.
Isaya 33:20–24
Kanisa la mapema lililofuata mafundisho ya Yesu
liligawanywa kwenye mamia ya madhehebu, na hakuna hata moja
kati yao isipokuwa Kanisa la Mungu linaloadhimisha sikukuu za Mungu.
Wale wajuao Sayuni na ambao ni wa Sayuni
wokovu wao umehakikishwa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha