Mfano wa Melkizedeki kupitia Pasaka ya Agano Jipya
ni dhabihu isiyobadilika, ambayo Mungu Mwenyewe Alianzisha duniani
ili kwamba sisi, wanadamu, tuweze kupokea baraka ya msamaha wa dhambi
na kurithi Ufalme wa Mbinguni.
Ni Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu tu
linaloadhimisha Pasaka ya Agano Jipya, ambayo kupitia hiyo Mungu Mwenyewe
Anahakikisha wokovu wetu, na ni mahali ambapo Baba wa Mbinguni Ahnsahnghong
na Mama wa Mbinguni Walikuja kwa mfano wa Melkizedeki.
“Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata, na akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii. Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki.”
Waebrania 5:8-10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha