Waisraeli walipopiga kelele kwa Yesu kuwaonyesha ushahidi kwamba Yeye ni Mungu, Yesu Alijibu, “Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka Mbinguni,” na kufundisha kwamba njia ya kula mana kutoka Mbinguni ni kuwa na mkate na divai ya Pasaka.
Kristo Aliahidi kutokea mara ya pili kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.
Atakapokuja, Atairejesha Pasaka ya Agano Jipya, ile mana iliyofichwa, ambayo haijaadhimishwa kwa miaka 1,600 tangu kuondolewa kwake mwaka 325 B.K.
Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani? . . . Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”
Yohana 6:30–51
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha