Yesu Ameahidi kuwapa uzima wa milele wale
wanaoshiriki mkate na divai ya Pasaka.
Kama tunamwamini Yesu, ni lazima tufuate mafundisho Yake.
Yesu Aliwaamuru watu Wake kuiadhimisha Pasaka.
Kwa mujibu wa amri yake, Petro na Yohana waliiadhimisha Pasaka,
Mtume Paulo, mtu mkuu wa Kanisa la mapema, aliiadhimisha,
na leo sisi, waumini wa Kanisa la Mungu, tunaishika takatifu.
Ili kutoa uzima wa milele kwa wanadamu ambao lazima wafe mara wanapozaliwa,
na kuwafanya watoto Wake, Mungu Amewapa mwili na damu Yake.
Kristo Ahnsahnghong Ameirudisha Pasaka, ambayo iliondolewa mwaka 325 BK.
Yeye ndiye Mungu wetu na Mwokozi katika Enzi ya Roho Mtakatifu.
Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila
Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.” Luka 22:15
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha