Watu wote waliozaliwa hapa duniani lazima wafe, na wanapaswa kujiandaa kwa ajili ya maisha baada ya kifo, kulingana na neno la Mungu Aishiye milele.
Waisraeli walioiadhimisha Pasaka miaka 3,500 iliyopita walikombolewa kutoka utumwa katika Misiri, lakini wale ambao hawakuiadhimisha walipata pigo hilo.
Ni vivyo hivyo leo. Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Elohim wetu, huambia watu kuiadhimisha Pasaka ya Agano Jipya bila kushindwa kwa sababu Wanataka kuwalinda kutokana na maafa na kuwapa baraka za Mbinguni pia, kupitia Pasaka.
Maafa na magonjwa sasa yanaenea ulimwenguni kote.
Pasaka ya Agano Jipya ni ukweli tu ambao unaweza kuokoa ulimwengu.
Ijapo watu elfu wataangukia kando yako,
kumi elfu mkono wako wa kuume,
lakini haitakukaribia wewe. Zaburi 91:7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha