Kama ambavyo Yesu Kristo Alikuja kutoka Mbinguni hadi dunia hii na Akapaa Mbinguni, watu wamwaminio Mungu katika dunia hii wanapaswa kurejea Mbinguni. Sharti la kuingia Ufalme wa Mbinguni ni kupokea uzima wa milele.
Wanadamu waweza kwenda Mbinguni ambapo hakuna mauti iwapo tu wanapokea uzima wa milele ulioadhidiwa na Mungu. Uzima wa milele unaruhusiwa tu kwa wale walao mwili wa Yesu na kuinywa damu Yake kwa njia ya Pasaka ya Agano Jipya.
Haijalishi imani yetu ni kuu kiasi gani, hatuwezi kupokea uzima wa milele tusipoadhimisha Pasaka.
Kanisa la Mungu ni kanisa pekee ulimwenguni linaloshika Agano Jipya.
Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno. Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi.
Waebrania 10:35–36
Hii ndiyo ahadi yake kwetu, yaani, uzima wa milele.
1 Yohana 2:25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha