Pasaka ni ishara ya wokovu ambayo kwayo tunaweza kuepuka maafa na kupata msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Ni sikukuu muhimu hivi kwamba Mungu Ametoa fursa nyingine zaidi kuiadhimisha kwa wale ambao walishindwa kuiadhimisha Pasaka katika mwezi wa kwanza kutokana na sababu isioepukika.
Tunapoadhimisha Pasaka ya Agano Jipya, mwili na damu ya Mungu huja ndani yetu, na tunaweza kuwapokea Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ambao Wamekuja duniani katika Enzi ya Roho Mtakatifu, na tunaweza pia kupokea uzima wa milele na haki ya kuwa watoto wa kweli wa Mungu.
“Hivyo Yesu akawaambia, ‘Amin, amin nawaambia . . . Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho. Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli na damu yangu ni kinywaji cha kweli.’ ” Yohana 6:53–56
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha