Takribani miaka 2,000 iliyopita, watakatifu wa Kanisa la mapema
waliogopa mateso ya kidini kutoka kwa jamii ya Wayahudi
na kifo baada ya usulubisho wa Yesu.
Walakini, kwa kuwa walipokea Roho Mtakatifu
Siku ya Pentekoste, walianza kuhubiri kwa ujasiri
kuhusu Yesu Aliyekuja katika mwili,
na kwa siku watu 3,000 au 5,000 walitubu na
kuja kwenye Kanisa la Mungu ambalo lilishika agano jipya.
Siku ya Pentekoste ilipowadia,
waamini wote walikuwa mahali pamoja . . .
Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu . . .
Matendo 2:1–4
Leo, kanisa linaloadhimisha Pentekoste
kama vile Kanisa la mapema lilivyoiadhimisha na linalompokea Roho Mtakatifu
wa mvua ya mwisho ni Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu,
ambapo Mama wa Mbinguni hukaa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha