Mungu tayari Aliteua majina na tarehe za sikukuu
za Agano la Kale kupitia Sheria ya Mose miaka 3,500 iliyopita
na kutuamuru tuadhimishe siku ya Pentekoste siku 50 kutoka
Siku ya Ufufuo (Sikukuu ya Malimbuko).
Baada ya Yesu kufufuka, wanafunzi walisali kwa dhati
kwa siku kumi kuanzia Siku ya Kupaa nao wakapokea Roho Mtakatifu
siku ya Pentekoste; walishuhudia kazi kubwa ya Roho Mtakatifu ambapo
watu elfu tatu waliongozwa kwenye wokovu katika siku moja.
Kwa njia hiyo hiyo, watakatifu wa Kanisa la Mungu wanaiadhimisha
Siku ya Pentekoste kulingana na neno na wanashuhudia
kwa dunia nzima kuhusu Waokozi katika Enzi ya Roho Mtakatifu,
Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, kwa njia ya Roho Mtakatifu
wa mvua ya vuli, wakiwaamsha watu kwa mioyo yao yote na akili zao zote.
“Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu,
nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi
kote na Samaria, hadi miisho ya dunia.” Matendo 1:8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha