Kama sisi ni wa mnyama, tutapokea chapa ya mnyama, ambayo itatuongoza kwenye adhabu ya jehanamu. Tutapokea ishara ya wokovu kutoka kwa Mungu tutakapotambua na kuwa na imani thabiti katika Kristo Ahnsahnghong, jina jipya la Yesu, na Yerusalemu Mpya Mama wa Mbinguni.
Biblia inatabiri kwamba kazi kuu ya Mungu itakuwa kutia muhuri Wake kwenye vipaji vya nyuso za watoto Wake, kuanzia miisho ya dunia kutoka Jamhuri ya Korea, ambapo jua huchomoza, kupitia amri Zake ikiwemo hiyo amri ya Pasaka.
Nami nikamwona mnyama akitoka ndani ya bahari. . . . Lile joka likampa huyo mnyama nguvu zake na kiti chake cha enzi na mamlaka makubwa. . . . Pia alimlazimisha kila mmoja, . . atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso, ili kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.
Ufunuo 13:1-17
Nikaona malaika mwingine akipanda kutoka mawio ya jua akiwa na muhuri wa Mungu aliye hai. Akawaita kwa sauti kubwa wale malaika wanne waliokuwa wamepewa mamlaka ya kuidhuru nchi na bahari, akisema, “Msiidhuru nchi wala bahari, wala miti, hadi tuwe tumetia muhuri kwenye vipaji vya nyuso za watumishi wa Mungu wetu.”
Ufunuo 7:2-3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha