Hata kama muonekano na jina la Mungu vikibadilika,
katika asili, Yeye habadiliki,
Kupitia ushuhuda mwingi wa Biblia, tunaweza kuona
kwamba Mungu Baba, Yehova, Mungu Mwana, Yesu,
na Mungu Roho Mtakatifu, Ahnsahnghong, ni Mungu mmoja.
Kama vile Peter na Paulo walivyomtambua Yesu, sisi pia tunapaswa kutambua
kwamba Kristo Ahnsahnghong, ambaye ametokea
katika nyakati za Roho Mtakatifu, ni Mungu, na tunapaswa kumkubali.
(Hadithi: "Mfalme wa Nchi ya Maji")
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha