Takribani miaka 2,000 iliyopita, viongozi wa dini ya Kiyahudi
ambao walikuwa wamekadbidhiwa mamlaka wakati huo,
walilitesa Kanisa la mapema nao mitume
kutokana na kumwamini Yesu kama Mwokozi.
Walakini, maoni na thamani za binadamu haziwezi kuwaongoza watu
kwenye wokovu. Wokovu unajaliwa tu kwa wale
ambao wanamwamini Mungu na kuufuata ukweli.
Katika enzi hii, Mungu Baba na Mungu Mama
Wamekuja duniani kulingana na unabii
wa Biblia na Wamelirudisha Kanisa la Mungu.
Sasa Wanawapa watu wote maji ya uzima bure.
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” . . .
na kila anayetaka na anywe
maji ya uzima bure.
Ufunuo 22:17
Kanisa la mapema lilitii maneno ya Mungu,
likishinda mateso makali ya kidini, na hatimaye kupokea
taji ya uzima. Katika enzi hii, pia, wale
wanaozingatia ukweli na kuushika
bila kufuata mawazo ya binadamu, wanaweza kuokolewa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha